Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) - ABNA - Sala ya Ijumaa imeswaliwa Leo hii katika Chuo cha Jamiat Al-Mustafa (s) Foundation, Dar-es-salaam - Tanzania. Khatibu wa Ijumaa hii alikuwa ni: Sheikh SHABAN ZUBERI. Na mada muhimu iliyoangaziwa katika Khutba zote mbili ilikuwa ni: Maana ya Toba na Umuhimu wake kwa Waumini.
25 Aprili 2025 - 15:22
News ID: 1552126
Your Comment